Pages

Subscribe:

Friday, February 19, 2016

BAADA YA RAY KUDAI KUWA ANAKUNYWA SANA MAJI NDIYO MAANA ANAKUWA MWEUPE GODZILLA AANZISHA KAMPENI YA

kk

Baada ya Ray Kigosi kuweka wazi kuwa anakunywa sana maji ndio maana anakuwa mweupe, Godzilla pamoja na mashabiki mbalimbali katika mitandao ya kijamii wamenza kufanya zoezi hilo kwa kuwahamasisha watu kunywa maji ili na wao wapate upako huo. Tazama picha hapa ndani...

Linexx

Maji

Mpoki

1 comments:

rashid hamza said...

safiii tearm water baby

Post a Comment