Pages

Subscribe:

Saturday, February 20, 2016

EX WA AUNTY EZEKIEL AONYESHA JEURI YA PESA NCHINI UGANDA

Aliyekuwa mume wa super star aunty ezekiel, aitwaye Jack Pemba pesa imeonekana ikizidi kumtembelea baada ya hivi karibuni kuonekana nchini Uganda akifanya kufuru ya aina yake , ambapo alikuwa akiosha moja kati ya magari yake ya kifahari aina ya range rover kwa kutumia Mvinyo wa bei huku akitumia ma dolali kufuta gari lake hilo, hali iliyozua... gumzo jijini Uganda na kuwaacha watu midomo wazi. Mume wa msanii huyo inadaiwa anafanya biashara nchini Uganda ikiwemo ya kumiliki makampuni kadhaa ya magari pamoja na maduka mbali mbali nchini humo.

0 comments:

Post a Comment