Pages

Subscribe:

Saturday, February 13, 2016

PICHA: MAPOKEZI YA DIAMOND NA TEAM YAKE NZIMA MJINI KISUMU


See more...


Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinum siku ya jana akiwa na Zari na Tiffah pamoja na team yake ya wasafi walitua mjini Kisumu nchini Kenya, na hizi ni baadhi ya picha za mapokezi yake hapo jana pamoja na ‘sound check’ aliyoifanya mapema leo kwa ajili ya show itakayofanyika leo mjini humo.

0 comments:

Post a Comment