Pages

Subscribe:

Friday, February 12, 2016

DAYNA NYANGE: SIJAWAHI KUFIKIRIA KUDATE NA WASANII

Dyna Nyange

Msanii wa muziki Dayna Nyange amesema hawezi kutoka kimapenzi na wasanii wa bongo kutokana na kuwa na wivu.

Muimbaji huyo ambaye pia ni mama wa mtoto mmoja aitwae ‘Rahma’, amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa, hapendi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mastaa kwa sababu...
wengi wana mambo mengi.

“Sijawahi kufikiria ‘kudate’ na wasanii kwa sababu nawaogopa, ni pasua kichwa. Mimi nina wivu sana mazingira ambayo tuko nayo nadhani nitakonda mara mia” alisema Dayna Nyange.
Dayna Nyange ni mmoja kati ya wasanii wa kike ambao hawapendi kuweka wazi mahusiano yao.

0 comments:

Post a Comment