Pages

Subscribe:

Saturday, February 27, 2016

NAY AVUNJIWA KIOO CHA NYUMA CHA GARI LAKE

Jux

Msanii wa muziki wa Hip Hop Nay wa Mitego amepatwa na majanga ya kuvunjiwa kioo cha gari yake usiku wa Ijumaa kuamkia Jumamosi wakati akielekea kutambulisha video ya wimbo wake mpya ‘Shika Adabu Yako’ katika kipindi cha FNL cha EATV.


Kupitia instagram, Nay wa Mitego ameandika ameandika.
Nimevunjiwa kio Cha gari nikiwa njia naenda kwenye Intrvw Chanel5 EaTv kwa ajili ya kutambulisha my New Video #ShikaAdabuYako sorry Watu wangu mliokua...
mkisubiri kuona Video Na Intrvw yote nimeshindwa kufika naweka sawa ili. Video itaenda YouTube kesho itakua kwenye Tv yako Pendwa. Muziki sio vita….. I will never stop doing what i do.!!

0 comments:

Post a Comment