Pages

Subscribe:

Wednesday, February 17, 2016

IDRIS ATOA SABABU YA KUTO FUNGA NDOA NA WEMA SEPETU

Wema na Idris


Akizungumza na Bongo5 Jumamosi hii, Idris amesema bado mahusiano yao yanaitaji muda zaidi ili kujiandaa vizuri kuingia kwenye ndoa.
“Ndoa nilisema inshallah lakini bado haipo kwenye mpango,” alisema Idris.

“Unajua ni vizuri ukiwa kwenye mahusiano na mtu, usiweze kukurupuka kufunga ndoa, ndio maana unakuta kuna ndoa nyingi zinavunjika. Inabidi mjuane, muelewane na...
muone kabisa kwamba kuna haya kadhaa ambayo nitakubaliana nayo au haya sitakubaliana nayo, so mnakubaliana kwanza. Kwahiyo mkishakubaliana kabisa kuingia kwenye ndoa mnakuwa tayari na mnajuana kabisa,” aliongeza Idris.

0 comments:

Post a Comment