Pages

Subscribe:

Friday, February 12, 2016

NAGHARAMIA YA CHRISTIAN BELLA NA ALIKIBA YAANZA KUONEKANA MTV BASE


barakah_daprince-1455171762148
Ongeza orodha ya video nyingine ya msanii wa Tanzania inayosumbua kwenye kituo cha runinga cha MTV Base Africa.Wimbo wa ‘Nagharamia’ wa Alikiba na Christian bella umeanza kupigwa kwenye kituo icho kikubwa cha runinga Afrika kwenye kipindi cha...
Rush Hour.

video za wasanii wa Tanzania zimekuwa zikiongoza kwenye chart mbalimbali za vituo vikubwa vya runinga Afrika, kitu ambacho ni uthibitisho kuwa muziki wa Bongo fleva upo kwenye nafasi nzuri.

0 comments:

Post a Comment