Pages

Subscribe:

Saturday, February 20, 2016

NUHU MZIWANDA AOPOA MKE WA MTU

Huku Instagram Mambo ni moto..Watu washafukua file ya demu mpya wa Nuhu Mziwanda na kuliweka hazarani....Demu aja juu na kuwajibu waliofukua file.

Jina kamili anaitwa Zuhura abdul Sabil ,Huyo msichana kwanza kwao rujewa mbeya mama ake alikuwa diwani wa rjw, ni mke wa mtu mumewe anaitwa naseeb huko Oman alienda kumsimamia mumewe biashara yake, Alishawah kutaka...

kuolewa na mwarab mmoja wa Iringa yule baba baada ya kupata story yake siku ya harus hakutokea bibie huyo akalazwa hospitali!!!!

Ashatembea na abdukiba, Sam wa ukweli , beka na wasanii kibao mpka tino Wa bongo move kapiga ni mtanzania Pure kabisaaaa kazaliwa rujewa mbeya, kasoma shule inaitwa St Anna na secondary kasoma usangu sec mpaka form two na hakuendele kwao wamezaliwa watatu Kakaake anafanyaga mazingaombwe anaitwa Dr Sabil ukimsearch YouTube utampata.

Sasa point YANGU ni kwamba nuh bado unasafari ndefuuu ya kutafuta demu mwingine au ndio unalipiza kisasi kwa shishi ila mke Wa mtu sumu oooh utatolewa busha tutashangaa nuh anatembea na msuri kumbe watu washafanya vyao

Majibu ya demu wa Nuhu Mziwanda haya hapa...

0 comments:

Post a Comment