Queen Bey amefanya tofauti na wasanii wengine, nguo zake hazitakuwa na ushirikiano na makampuni mengine makubwa mfano Rihanna na Puma walivyotengeneza Puma Fenty au Kanye west na Adidas walivyotengeneza Yeezy, brand ya Beyonce itakuwa yake mwenyewe yaani Bey-originals.
Beyonce ameshirikiana na Sir Philip Green ambaye ni mwenyekiti wa Arcadia Group wanaomiliki Topshop, Topman, Miss Selfridge na zingine.
0 comments:
Post a Comment