skip to main |
skip to sidebar
FAIZA ALLY AANZA KUZURULA NA KICHANGA KISICHO TIMIZA HATA WIKI
Naona sasa hivi utandawazi umekuwa kwa kasi sana kichanga hakija fikisha
hata siku 7(wiki moja) kinaanza kutembezwa kwenye mitaa,hili nimeliona
kwa mrembo Faiza Ally. Tazama baadhi ya picha hapa chini...
Nb:Wabobezi wa mambo ya Afya na dini hii imekaaje? Piteni mtutoe tongo tongo kwenye hili.
0 comments:
Post a Comment