Pages

Subscribe:

Thursday, August 17, 2017

GODZILLA AMPUUZIA CHID BENZ KWA USHARI ALIOMPA



Rapper Godzilla anaokena kuchukulia poa ushauri wa Chid Benz aliyemtaka kuacha kutumia lugha ya kingereza katika ngoma zake.

Kipindi cha nyuma Chid Benz alieleza kuwa anapenda anachofanya Godzilla lakini ameanza kuchanganyikiwa kutokana na...
matumizi makubwa ya lugha ya kingereza katika ngoma zake na interview.

“Is Chid Benz enough, usiongezee kitu itakuwa noma, you can’t add anything on that,” Godzilla ameiambia Clouds Tv na kuongeza.

“Lengo la game ni tuende mbali world wide tunasikilizwa na watu mbali mbali, dunia nzima inasikiliza, Nigeria na kwingineko, huwezi kuwa rapper mzuri huwezi hata kuongea na watu,” amesema.

Godzilla kwa sasa kwa anafanya viuri na ngoma yake mpya X ambayo imefanyika kwenye studio yake binafsi chini prodyuza Bin Laden.

0 comments:

Post a Comment