Witnesz anasema kwamba kutokana na ujauzito wake kuharibika, alijihisi kama ni mtu aliyetengwa sana, upweke ukamtawala na kusababisha awe anakula...
hovyo, jambo ambalo baadaye lilimsababishia kuongezeka sana uzito na kuwa kibonge.
Witnesz anaeleza kwamba baada ya kuteseka kwa ubonge kwa kipindi kirefu, aliamua kutumia mwili wake kama fursa ambapo alianza kujifunza kuhusu dawa za kupunguza uzito na kuufanya mwili kuwa mwepesi, biashara anayoifanya hadi hivi sasa.




Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment