Katika mahojiano na mtandao wa Rap-Up,Eve akiwa na mshiriki mwenzake katika filamu ya “Barbershop:The Next Cut”, Regina Hall, amedai kuwa maisha ya...
ndoa yamechangia kumuweka mbali na muziki ila ushiriki wake kwenye filamu ya “Barbershop:The Next Cut”unamfanya atamani kurudi kwenye game na kuongeza kuwa yupo kwenye maandalizi ya album mpya.

“It was more just life stuff. I moved to a new country, I got married. I just needed to settle again,“Being on a set like Barbershop and being with so many people,as Regina included…People don’t really know I call her my manager. We talked about doing music. And even talking to Common. Common would be like, ‘Are you writing?’ You get inspired and I’m in a nice place now where I do feel inspired.”Eve alidokeza.
Eve & Maximillion Copper.Eve ambae alifunga ndoa mwaka 2014 na mfanyabiashara mwenye makazi yake nchini Uingereza,Maxmillion Copper,amekua kimya kwenye muziki ila amekua akifanya vizuri kwenye film industry hasa kwenye filamu ya “Berbershop:The Next Cut”ambayo inawajumuisha mastaa kadhaa kama,Ice Cube,Common na Nick Minaj.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment