skip to main |
skip to sidebar
MWIGIZAJI WA AFRIKA KUSINI APATA SHAVU LA KUIGIZA FAST & FURIOUS 8
Muigizaji wa Afrika kusini, Charlize Theron ametangazwa kuwa mmoja wa waigizaji wa filamu mpya ya Fast and Furious 8. Muigizaji huyo mwenye umri wa miaka 48, ameungana na Vin Diesel,
Jordana Brewster,Tyrese Gibson, Jason Statham, Chris ‘Ludacris’ Bridges
na wengine kwenye filamu hiyo ambayo itatoka April 17, 2017.Charlize Theron ni staa wa filamu kama...
Mad Max: Fury Road (2015), A Million Ways to Die in the West (2014), The Italian Job (2003) na zingine nyingi, Pia ni mshindi wa tuzo ya Oscar.
0 comments:
Post a Comment