Katika
kusherehekea birthday yake mwaka jana, msanii Nay Wa Mitego alihamia
katika nyumba yake mpya ya Kimara huku akijizawadia gari mpyaaaa. Habari
hiyo ilikua gumzo sana magazetini na mitandaoni kwani nyumba hiyo
ilikua ya kisasa kabisa.Tarehe 9 mwezi huu Nay Wa Mitego atasherehekea siku yake ya kuzaliwa na moja kati ya maswali yaliyokua yakimuumiza zaidi ni zawadi gani ajipatie kati ya kujinunulia gari au kuhamia katika nyumba yake kubwa ya ghorofa ambayo...
haijaisha vizuri???




Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment