Pages

Subscribe:

Wednesday, August 16, 2017

ALIKIBA AWAACHA WATU NJIA PANDA BAADA YA KUPOST KIPUSA


Wananiita KIPUSA?
#kingkiba

Alikiba aacha watu njiapanda baada ya kupost picha yenye neno KIPUSA huku chini ya picha hiyo ikiwa na jina King Kiba watu wanajiuliza hilo ni jina la wimbo mpya au la huku wengine wakidai wimbo KIPUSA ni wa king kiba na unatoka siku ya leo saa mbili usiku.

0 comments:

Post a Comment