Thursday, August 10, 2017
JOKATE: NATAMANI KUKUTANA NA RIHANNA KWA SABABU TUNAFANANA
MWANAMITINDO Jokate Mwegelo amefunguka kuwa pamoja na kukutana na wanamuziki mashuhuri, Shawn Carter ‘Jay Z’, Beyonce Knowles na mchezaji Thiery Henry, mwingine anayetamani kukutana naye maishani ni mwanamuziki Robyn Fenty ‘Rihanna’ pamoja na Rais Mstaafu wa Marekani Barack Obama na mkewe, Michelle.
Jokate alifunguka hayo juzikati baada kutimiza ndoto yake ya kukutana na...
mwanamuziki nguli Afrika, Oliver Mtukudzi nchini Afrika Kusini hivyo kuweka wazi kuwa kiu yake imebaki zaidi kwa Rihanna.
“Natamani sana kukutana na mwanamuziki Rihanna pia Obama na mkewe. Rihanna namuelewa sana kwa sababu tunafanana hadi mauombo yetu, itakuwa safi sana nikikutana naye,”alisema Jokate.
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment