Pages

Subscribe:

Thursday, August 10, 2017

MAMA DIAMOND: MTOTO WA HAMISA MOBETO NI MJUKUU WANGU



Siku moja baada ya Mwanamitindo Hamisa Mobeto kujifungua mtoto wa kiume na story zikisambaa kuwa mtoto huyo ni mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz ingawa wenyewe wanazikanusha, sasa leo mama mzazi na dada wa Diamond wamefunguka.

Wakiongea na Soudy Brown kwenye U HEARD ya XXXL ya Clouds FM baada ya kuendelea kusambaa kwa taarifa hizo Dada wa Diamond na Mama nao walifunguka.
”Hamisa rafiki yangu siyo wifi yangu lazima niwe na furaha kwa sababu kajifungua salama. Wewe ulikuwa unataka...
nifanyeje? Hizo habari za Diamond mimi sizijui. Niulize mambo yangu. –  Esmaplatnumz

“Wewe unanitafuta nini Soudy? Naumwa kifua. Watoto wote ni wajukuu zangu hata wewe mtoto wako ukizaa mjukuu wangu. Wewe mwenyewe mwanangu, mtoto ukizaa mjukuu wangu. Wewe ni shushushu mbona hujafika Hospitali kumuona? Walioniona nimeenda Hospital waambie wakuhadithie vizuri. Mimi namuombea maisha mema alee mtoto wake vizuri kwa amani na furaha.” – Mama Diamond

0 comments:

Post a Comment