kwenye ziara hiyo ya Tanga Bill Gates alikua anafatilia maswala mbalimbali ya...
afya ikiwemo utumiaji wa dawa za mabusha, matende na n.k na kuangalia ni namna gani anaweza kusaidia kwenye sekta hiyo ya Afya.

Picha ya Bill Gates akiwa na Wadau mbalimbali pamoja na Mbunge wa Muheza Balozi Adadi Rajabu.

Kwenye hii picha unaweza kumuona Bill Gates akiwa kwenye meza kuu na kufatilia kila kinachojiri

Taarifa za sasa ni kwamba Bill Gates amerejea Dar es salaam na kuna mpango ilisemekana kwamba anataka kuonana na Rais Magufuli.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment