Pages

Subscribe:

Thursday, September 24, 2015

J.COLE AINGIA TANZANIA KIMYA KIMYA

Rapper wa Marekani ambaye yupo chini ya label ya Jay Z ‘Roc Nation’ , J Cole amekuja Tanzania kimya kimya. J cole alionekana mapema jana kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa...
Kilimanjaro ‘KIA’
kei                               
   J cole akiwa na mmoja wa mashabiki wake mapema jana
Kama unakumbuka Mwezi wa saba Msanii mwingine wa Marekani, John Legend na mpenzi wake Chriss Teigen walikuja Tanzania, zanzibar kimya kimya.

0 comments:

Post a Comment