Pages

Subscribe:

Wednesday, September 16, 2015

K.O AINGIA STUDIO NA KUFANYA COLLABLE NA JOH MAKINI

Rapper kutoka Afrika kusini, K.O ameingia studio na Mwamba wa Kaskazini Joh Makini usiku wa jana, Joh ameweka picha ikiwaonesha wakiwa Studio ya “The Industry” iliyopo chini ya Prodcuer NahReel na kuandika...
  “#aboutlastnight#TheIndustry with @mrcashtime#doingwhatwedobest Tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu Mengi makubwa yanakuja…. #GODENGINEERING #InshiNdotoyako”
joh nnnn 
K.O wakati anafanya mahojiano na kipindi cha XXL cha ‘Clouds Fm’ K.O alimtaja  Joh Makini na Diamond Platnumz kama wasanii wa Tanzania ambao anataka kufanya nao collabo , Pia alithibitisha kufanya kazi na Producer Nahreel.
Rapper K.O ambaye ameshirikishwa kwenye ‘Nobody but Me’ ya Vanessa Mdee yupo Tanzania kwa ajili ya Media na showCase.

0 comments:

Post a Comment