Pages

Subscribe:

Wednesday, September 16, 2015

YOUNG DEE ATANGAZA COLLABLE NA PATORANKING


.
Kama ulishawahi kumfananisha msanii wa Nigeria, Patoranking na Rapper wa Tanzania Young Dee basi hujakosea, lakini kitu kizuri zaidi ni kwamba wasanii hao wanakuja na Collabo yao ya Pamoja. Young Dee amezungumza na kuweka wazi kuwa ataenda Nigeria muda wowote kuanzia sasa ili kukamilisha collabo yao , Young Dee pia ameongeza kuwa Dj wa Diamond, Romy Jones alikuatana na Patoranking Afrika kusini na kumgusia kuhusu...
collabo yao  na bahati nzuri Patoranking alisema lazima wafanye kitu.

“Bahati nzuri mara ya mwisho romy alivyoenda Afrika Kusini alikuwa na show na Diamond akamgusia Patoranking hiyo issue baada ya hapo rommy akanicheki akaniambia kwamba lazima tufanye kitu, sikuamini kwamba labda jamaa ataichukulia serious kwa ukubwa huo baada ya hapo nikapeleka wazo hilo kwenye uongozi kwa hiyo sasa hivi tupo katika mchakato wa kwenda Nigeria kufanya kazi na Patoranking wa Nigeria” Young Dee amesema.
Wiki iliyopita Young Dee aliku Kikaaongoni ya East Afrika Television na aliwataja Diamond Platnumz na Patoranking kama wasanii ambao anatakamani kufanya nao kazi.

0 comments:

Post a Comment