Pages

Subscribe:

Thursday, September 17, 2015

DIAMOND AKIWA KWENYE UBORA WAKE AWAPIGA CHINI WIZKID, P-SQUARE NA...

Mwaka 2015 unaendelea kuwa mzuri kwa Diamond Platnumz baada kubeba Tuzo zingine mbili za ‘Nollywood & African Films Critics Awards” , Diamond ameshinda vipengele vya Favorite artist of the year na Favorite song of the year kupitia ngoma ya ‘Nana’.
Kwenye kipengele cha Artist of the Year alikua anashinda na “Psquare, Tiwa Savage, Tshala Mwana, Don Jaz, Mr. Flavour, Fally Ipupa, General defao, Felix wezekwa na Yemi Alade” na kwenye upande wa kipengele cha Favourite artist of the year alikua anachuana na...
“Bring It On – P Square, Official-Fally Ipupa, Techno Walewa-Werrason, Johnny- Yemi Alade, I Love You – Felix Wazekwa, Ojuelegba – WizKid .”
Kupitia Instagram, Diamond ameandika:

I would love to say thank you to everybody who Voted for me on @africannafca Awards…am so grateful, i wouldn’t have Made it without you…hare are our Trophies….i will always make sure i work hard to make My Africa Proud..also wanna Thank @africannafca for keep Supporting African talents….please, don’t forget to Vote for me on @MtvEma awards.

0 comments:

Post a Comment