Pages

Subscribe:

Monday, September 21, 2015

TAZAMA PICHA ZA MTOTO WA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI


Tiffah1
See more pics inside...

Hatimaye Diamond Platnumz na mpenzi wake Zarinah hassan wamemuonesha mtoto wao ‘Latiffah’ kwa mara ya kwanza siku ya jana.
Tiffah2
Siku ya jana ilikua 40 ya mtoto wao na kama walivyoahidi, walimuonesha kwa mara ya kwanza mbele ya ndugu na marafiki zao.
Tiffah1
Habari njema zaidi ni kwamba ndani ya siku 40, tayari Tiffah amepata shavu lakua balozi wa duka la ‘Babyshop’ na NMB.
Tiffah3tiffah2

0 comments:

Post a Comment