Pages

Subscribe:

Thursday, September 17, 2015

TAZAMA PICHA YA GARI LA DOGO JANJA ALILO KABIDHIWA NA MADEE

Madee amemzawadia Dogo janja gari jipya kwenye siku yake ya kuzaliwa tarehe 15 September. See more Pics...
 
janja1
Kupitia mtandao wa Instagram, Dogo janja ambaye amefikisha umri wa miaka 21 ametoa shukrani zake kwa madee ambaye ndio mlezi wake kwenye music na watu wengine ambao wamemuunga mkono kwenye kazi zake.

0 comments:

Post a Comment