Pages

Subscribe:

Thursday, September 17, 2015

NAHREEL: WASANII WAKUBWA AFRICA KAMA 2FACE, P-SQUARE, DONJAZZ WOTE WAMEIKUBALI GAME

Producer na member wa kundi la “Navy Kenzo” Nahreel amesema wasanii wakubwa wa Afrika wameikubali track yao ambayo inafanya vizuri kwasasa ‘Game’. Wakati anazungumza Nahreel alisema track yao ya ‘Game’ waliyomshirikisha Vanessa Mdee imewatambulisha zaidi kwenye soko la kimtaifa , amesema wamekua wakipokea Comment za wasanii wakubwa Afrika kama...

zenzo         
 Don Jaz, 2face idibia , Psqaure na Patoranking wakiisifia track yao.

0 comments:

Post a Comment