Pages

Subscribe:

Monday, September 21, 2015

BEN POL FT AVRIL KUACHILIWA ALHAMISI HII

Mkali wa RnB, Ben Pol ametangaza kuwa ataachia wimbo aliomshirikisha mwanamziki wa Kenya Avril na mwanamziki mpya kutoka Tanzania Rossie...
M alhamisi ya wiki hii.
benPOL
Huu utakua wimbo wa pili baada ya sophia tangu mwaka huu uanze, pia ni moja ya nyimbo alizoziperfom wakati wa Coke studio msimu huu wa tatu.
Umetengenezwa chini Producer Mswaki.

0 comments:

Post a Comment