Pages

Subscribe:

Friday, September 25, 2015

WEMA SEPETU: SHEREHE YA TIFFAH HAIKUNIHUSU

Wema: Sherehe ya Tiffah Haikunihusu
Staa asiyechuja Bongo, Wema Sepetu amefunguka kuwa hakuhudhuria kwenye 40 ya mtoto wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye alikuwa mpenzi wake kwa kuwa haikuwa inamuhusu.
Akizungumza na mwandishi karibuni baada ya kumuuliza kwa nini hakuonekana kwenye sherehe hiyo, Wema alisema asingeweza kwenda kwa kuwa...
haikuwa ikimuhusu hata kidogo.
“Sasa jamani ningeenda kwenye hiyo sherehe wakati haikuwa ikinihusu kwa lolote, mfano ningeenda pale kama nani sasa na wala sikuwa najua kama kuna kitu kama hicho kwa sababu sikualikwa,” alisema Wema.
Chanzo: GPL

0 comments:

Post a Comment