Pages

Subscribe:

Wednesday, September 9, 2015

BELLE 9 AWAASA WASANII MACHIPUKIZI KUACHANA NA SKENDO


Mkali wa muziki wa kizazi kipya Abernego Damian belle 9 amesema anaamini skendo siyo chanzo cha kuwa maarufu. Alisema kuwa wasanii wengi wanaamini kwamba ustaa ni bidii ya kazi zilizo nzuri na kukubalika ktk jamii na si kufanya skendo. Akizungumza jijini Dar Es Salaam mwishoni mwa wiki Belle 9 alisema kuwa wasanii wengi wanaamini kwamba bila skendo hawawezi kuwa mastaa siyo kweli.

Ustaa unakuja kutokana na kazi nzuri na si kufanya skendo kwani skendo zinaweza kusababisha usikubalike ktk jamii. Aliwataka Wasanii machipukizi...
wasiamini Skendo ndiyo kutoka ila ni kujishushia heshima.

0 comments:

Post a Comment