Pages

Subscribe:

Wednesday, September 16, 2015

ALIKIBA AUNGANA NA MASTAA WA AFRICA KUFANYA WIMBO WA PAMOJA KWAAJILI YA SIKU YA AMANI DUNIANI

Tarehe 21 September kila mwaka dunia huwa inasherekea siku ya Amani duniani, Coke Studio imewakutanisha wasanii wakubwa Afrika kwenye wimbo wa Pamoja kwa ajili ya kahamasisha amani duniani.
Msanii Pekee atakayeiwakilisha Tanzania ni Alikiba ambapo ataungana na wasanii wengine wakubwa wa Afrika ikiwa ni pamoja na Ice Prince (Nigeria), Maurice Kirya (Uganda), Dama do bling (Mozambique), Wangechi (Kenya) na...


Wimbo huo ambao umeandikwa na mwanamziki  Zwai Bala na kuandaliwa na Coke Studio utaachiwa siku  ya  sherehe za Amani duniani zitakazofanyika Kigali, Rwanda tarehe 21 september.

0 comments:

Post a Comment