Pages

Subscribe:

Wednesday, September 9, 2015

YAMOTO BAND KUZINDUA WIMBO MPYA IJUMAA YA WIKI HII

 
Bendi inayo tamba hapa nchini yamoto band inatarajia kuzindua wimbo mpya utakao julikana kama ning'oe au niuzie sura. Akizungumza hivi karibuni meneja wa kundi hilo mkubwa fella alisema uzinduzi wa nyimbo hiyo utaambatana na uzinduzi wa video yao mpya ya cheza kwa madoido iliyo tengenezwa na godfather nchini afrika kusini.

Kwa upande wa kiongoz wa bendi aslay isihaka 'dogo aslay' amesema...
wamejipanga kuliteka jiji hivyo ni wakati wa wapenz na wasio wapenz wao kuja kuona burudani itakayo fanyika.

0 comments:

Post a Comment