Pages

Subscribe:

Tuesday, September 29, 2015

SAUTI SOUL WAFANYA MAKUBWA NCHINI MAREKANI, WAPIGA SHOW KALI NA JAY Z, BEYOUNCE NA...

Kundi la wasanii wa muziki la Kenya ‘Sauti Soul’ wamekutana na mmiliki wa Microsoft Bill gates na mmiliki wa ‘Roc Nation’ Jay Z jumamosi ya wiki iliyopita New York, Marekani. Pia wameweza ku perform na Jay z, Beyounce, Common na wengine wengi. see pics inside...


sautt
sauttt
kwa mujibu wa picha walioweka kwenye mtandao wa Instagram wamesema walipata nafasi ya kuzungumza machache na Jay z hasa kuhusu muziki na biashara japo hawajaweka wazi kwa undani kuhusiana na hilo. Pia waliweka wazi mpango wa Billgates kutembelea Kenya.
sautttt
 Muimbaji wa Sauti soul akiwa na Usher Raymond
saut 
 Muimbaji wa Sauti soul akiwa na muigizaji kerrt Washington
soul
Sauti Soul walipata nafasi kuperfom jukwaa moja na mastaa wakubwa wa muziki ikiwemo Beyonce, Common, Ed sheran, coldplay,  na wengine wengi kwenye Tamasha la ‘Global Citizens’ ambapo pia mke wa raisi wa Marekani, Michelle Obama aliudhulia.

0 comments:

Post a Comment