Pages

Subscribe:

Friday, September 18, 2015

IYANYA KUZINDUA ALBUM YAKE MPYA WEEKEND HII


Msanii wa Nigeria, Iyanya anaachia Album yake ya tatu “Applaudise” jumamosi hii, tarehe 19 September, Album hiyo ina orodha ya nchimbo 20 ikiwa ni pamoja na collabo aliyomshirikia Mkali wa Bongo fleva Diamond Platnumz na...


IYANYA - APPLAUDISE ALBUM COVER BACK NEW 2 tweaked
Wasanii wengine walioshirikishwa kwenye Album hiyo ni pamoja na Banky W, Patoranking, Olamide, Lil Kesh, Victoria Kimani, Harrysong, Kcee, Seyi Shay, Diamond Platinumz, Don Jazzy, Efyana  Sarkodie .

0 comments:

Post a Comment