Pages

Subscribe:

Friday, September 18, 2015

PAM DAFFA AFUNGUKIA SIASA


Msanii wa muziki Pam Daffa, akiwa katika kundi la wasanii ambao misimamo yao kisiasa ni suala ambalo wameamua kuliweka binafsi, amesema kuwa hatua hiyo imezuia yeye na wasanii wenye msimamo kama wake kukosa mashavu ya kutumbuiza.
Ikiwa inafahamika vyema kuwa majukwaa ya kisiasa ni nafasi nzuri kwa wasanii kutengeneza pesa, Pam Daffa amesema kuwa, kidemokrasia ana...
haki ya kutoonyesha msimamo, ingawa pia ana utayari wa kupanda katika jukwaa la chama chochote kwa kufanya kazi ya kutumbuiza tu.

0 comments:

Post a Comment