Pages

Subscribe:

Thursday, September 10, 2015

KAULI YA DIAMOND BAADA YA KUTAJWA KUWANIA TUZO ZA MTV EUROPE MUSIC AWARDS 2015

Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 zitakazotolewa mwezi October 25, 2015 jijini Milani Italy.Diamond alisema..‘Kiukweli namshukuru sana mwenyezi Mungu kwa sababu najua mimi naamini sio mimi tu watanzania wengi ndoto zenu ni...
kuomba muziki wetu uweze kutambulika kimataifa sio tu kutambulika bali kupewa heshima kwa taifa letu la Tanzania‘ – Diamond Platnumz

0 comments:

Post a Comment