Pages

Subscribe:

Thursday, September 17, 2015

WITNESZ: VIJANA WA SASA WANAJITAMBUA

Diva wa miondoko ya Hip Hop Witnesz amepinga mtazamo hasi kuwa muamko wa vijana kisiasa unatokana na kufuata mkumbo, akiamini kuwa mtazamo huo unatokana na imani kuwa mambo ya siasa pamoja na nafasi za uongozi ni kwa ajili ya wazee pekee.
 
Witnesz The Fitness aka Kibonge Mwepesi ameeleza kuwa, safari hii muamko wa vijana umekuwa kutokana na rika hilo kujitambua, akisisitiza pia anaamini...
kwa muamko huo huo, uchaguzi utafanyika kwa amani, na baada ya kipindi hiki cha mivutano ya itikadi tofauti, viongozi bora watapatikana na maisha yataendelea kama kawaida baada ya uchaguzi.

0 comments:

Post a Comment