Pages

Subscribe:

Sunday, December 24, 2017

MJUE CURTIS McDANIEL MWANAMITINDO MWENYE UGONJWA WA VITILIGO

Image result for curtis mcdaniel model
Kijana Curtis McDaniel, 22, ambaye ni mkazi wa New Jersey Marekani ambaye ni mgonjwa wa ugonjwa ujulikanao kama vitiligo ni miongoni mwa vijana wanaotajwa kuwa wa mfano kwa watu wengine kwenye jamii ambapo wanapaswa kukubali walivyoumbwa na kuishi kama binadamu wengine.

Curtis anaeleza kuwa haikuwa rahisi kujikubali kuwa na ugonjwa huo ambao ni wa ngozi kupoteza uwezo wake wa kuwa na rangi, tatizo ambalo hakuna mtu...
kwenye familia yake mwenye nalo.

Curtis kwa sasa ni mwanamitindo na anaishi bila kujitofautisha na watu wengine.

Related image

Image result for curtis mcdaniel model

Image result for curtis mcdaniel model

Image result for curtis mcdaniel model

Image result for curtis mcdaniel model

0 comments:

Post a Comment