Pages

Subscribe:

Saturday, December 30, 2017

BARCA WAANZA KUHOFIA KUMPOTEZA SAMUEL UMTITI KTK DIRISHA DOGO LA USAJILI

Image result for UMTITI
Kwa mujibu wa Daily Mail, hata hivyo, vigogo wa Barca wanakiri kuwa United imeshawaona, na Manchester City wapo sokoni kutafuta beki wa kati pia
Imeripotiwa kuwa kiasi cha paundi milioni 45 kinachoweza kuvunja mkataba wa Samuel Umtiti kimeanza kuwaogopesha Barcelona, United wanataka kumnunua.

Mchezaji huyo menye umri wa miaka 24 kwa sasa anauguza majeraha yake ya misuli Camp Nou tangu atue akitokea Lyon kwa pauandi milioni 25. Kwa mujibu wa Daily Mail, hata hivyo, vigogo wa...
Barca wanakiri kuwa United imeshawaona, na Manchester City wapo sokoni kutafuta beki wa kati pia.

Kwa sababu hiyo miamba wa Catalan wanaangalia uwezekano wa kumwongezea mkataba ili kuongeza thamani ya mchezaji huyo wa Kimataifa wa Kifaransa.
Umtiti ametumika mara 12 kwenye La Liga msimu huu na mara tano kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa.

0 comments:

Post a Comment