Pages

Subscribe:

Saturday, December 30, 2017

MOHOMBI: DIAMOND PLATNUMZ ANAFANYA VIZURI KUIPUSH BONGO FLEVA


Nzaaaala !!! Waiting for that Tanzanian Food 👌🇹🇿 #LumumbaStyle

Mohombi yupo Bongo na jana alikuwa ktk Press Conference ya uzinduzi wa albamu ya Vanessa Mdee - MoneyMondays baada ya Press hiyo alipata nafasi ya kujibu maswali kadha wa kadha kutoka kwa waandishi wa Habari.

Msanii huyo wa kimataifa kutoka Sweden Mwenye asili ya Congo, Mohombi amesema muziki wa Tanzania unakua kwa kasi duniani. Ambapo amesema moja ya wasanii wanaofanya vizuri ni Diamond Platnumz. Msikilize alicho kisema hapa chini.

Play Here 

Download 

0 comments:

Post a Comment