Pages

Subscribe:

Friday, December 22, 2017

CHIDINMA AJA NA MWONEKANO WA KUFUNGIA MWAKA



Music with a fashion. Msanii Chidinma Ekile maarufu kama Chidinma kutoka Nigeria ameamua kukaribia kuuaga mwaka 2017 kwa kuja na staili mpya ya nywele zake.

Staili hiyo ambayo hajawahi kuonekana nayo mwanzoni imeonekana kuwavutia mashabiki wengi kutokana na picha ambazo ameziweka katika...
mitandao ya kijamii. Je kwa upande wako muonekano huo mpya wa Chidinma umempendeza au hapana?







0 comments:

Post a Comment