Pages

Subscribe:

Friday, December 29, 2017

HARUSI YA DIAMOND NA ZARI KUGHARIMU DOLA MILIONI 2


Harusi ya Diamond na Zari The Bosslady huenda ikafanyika mwakani, kwa mujibu wa Mama Tee. Na tena inaweza kuwa moja ya harusi za kifahari zaidi kuwahi kufanyika Afrika.

Kupitia Instagram, shabiki mmoja alicomment na kumwambia anasubiri nini kufunga ndoa na Mondi, naye akajibu, “2018 baby.. no rush, its gonna be planned and...
big! $2M dollar typa shit.”

0 comments:

Post a Comment