Pages

Subscribe:

Saturday, December 30, 2017

PICHA: VANESSA NA MOHOMBI KWENYE PESS CONFERENCE YA MONEY MONDAYS ALBUM



Earlier On Today with my brother @mohombimusic at the #MoneyMondaysTheAlbum Press Conference. Pre Order link in my bio.
Leo #KwanguNjoo are you invited?



Vanessa Mdee yupo mbioni kuachia album yake ya kwanza na siku ya jana ilifanyika press conference ya Albamu hiyo Hyatt_Kilimanjaro Jijini Dar Es Salaam na alikuwepo Mohombi ambaye ameshiriki ktk albamu hiyo kwenye moja ya Wimbo ambao unaonekana ni namba 13 ktk albamu ya Vanessa Mdee Money Mondays. 

Tazama picha zaidi za Press Conference ilivyo kuwa hapa chini...


Unasemaje? ... bado haujaPreOrder? 🤦🏽‍♀️



Hair, MakeUp and Nails by Award winning @americannailstz Thankyou Sis always rising with me. Hongera kwa tuzo yako #HairDresserOfTheYear



Song number 13 - Kwangu Njoo ft @mohombimusic #moneymondaysthealbum ASANTE SANA @mkitodotcom for supporting African Music.

Cc @gsmtravelandtours @mdeemusicofficial @hyatt_kilimanjaro #MyHennessyTZ #UfupiHuuJamani



FAMILY ! #AfricaUnited 🇨🇩|🇹🇿 #Repost @dizzimonline
・・・
Jioni ya leo kwenye press conference ya Listening party ya Money Mondays ya Album ya @vanessamdee akiwa na @mohombimusic pale #Hyatt_Kilimanjaro



Jioni ya leo kwenye press conference ya Listening party ya Money Mondays ya Album ya @vanessamdee akiwa na @mohombimusic pale #Hyatt_Kilimanjaro

0 comments:

Post a Comment