Pages

Subscribe:

Saturday, December 30, 2017

JUX: VANESSA MDEE ANANIPA SANA CHANGAMOTO NATAKA KUWA BOSI


Mbeya niko njiani #TigoFiesta2017 @jumajuxnewz

Msanii wa muziki, Jux amedai yeye ni mmoja kati ya wasanii ambao wanapata changamoto kutoka kwa muimbaji, Vanessa Mdee ambaye ni mpenzi wake. 

Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo, Utaniua, amesema mafanikio ya Vanessa na kujituma kwake ni kitu ambayo kinamuumiza kila...
msanii ambaye ana malengo ya kufanya mambo makubwa katika muziki wake.

Pia Jux amesema hafikirii kama ataajiriwa baada ya kumaliza Degree ya Computer Science mapema mwaka huu nchini China. Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Utaniua’ amesema yeye ana ndoto ya kuwa bosi na sio kusubiria kuajiriwa kama baadhi ya watu wanavyofikiria.

0 comments:

Post a Comment