Pages

Subscribe:

Thursday, June 25, 2015

DIAMOND NA NEYO KUSHIRIKI JUKWAA MOJA

MTV AFRICA wamethibitisha uwepo wa msanii wa marekani maarufu kama Neyo katika usiku wa utoaji tuzo ambazo zitafanyika tarehe 18 mwezi ujao. Leo katika mtaandao ya Twitter MTV wameandika: "What ya'll think of a @diamondplatnumz & @NeYoCompound collabo at #MTVMAMA2015? Could be epic, right... @MTVbaseAfrica?! ". What ya'll think of a @diamondplatnumz & @NeYoCompound collabo at #MTVMAMA2015? Could be epic, right @MTVbaseAfrica?! pic.twitter.com/YoSaiNEl8H — MTV ZA (@mtvza) June 24, 2015 Diamond Pia kapost katika account yake akionyesha furaha yake kuhusu hili! Diamond kaandika.

0 comments:

Post a Comment