Pages

Subscribe:

Sunday, June 21, 2015

SHILOLE AJIBU MAPIGO BAADA YA KUSHAMBULIWA KISA KAMPA NUHU LIKIZO


Baada ya Shilole kutangaza kumpa break mwenzi wake Nuh Mziwanda kwa muda wa mwezi huu mzima, wakitarajia kuendeleza malavi davi yao baada ya kipindi hiki kitakatifu kupita, baadhi ya  mashabiki ambao wanajinasibu kuijua dini wamekuwa wakimshambulia Shilole kwa maneno kwenye mitandao ya kijamii kuwa kitendo cha kutaka kumrudia tena Mziwanda  bila ndoa sio sawa kwa upande wa dini na...
wengine kwenda mabli zaidi na kudai hata kazi yake ya sanaa ambayo humfanya kukata maouno pia haifai, kitendo ambacho kimepelekea Shilole kujibu mapigo kwa kuandika jina lake kamili na kusema ni Mungu pekee ndio anamjua na sio binadamu.
“Zuwena Mohamed bint Yusuph anaeyenijua ni Mungu pekee na si binaadam” –Shilole ambaye jina lake ni Zuwena Mohammed alindika hayo mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu.

0 comments:

Post a Comment