Pages

Subscribe:

Friday, June 26, 2015

MAJAMBAZI WAVAMIA BENKI YA NMB NA KUPORA FEDHA

Majambazi wamevamia NMB Mkuranga, Wameua askari na kutokomea na fedha. Update Kamanda wa Polisi Mkoani Pwani, Jafary Mohamed, ameithibitishia JamiiForums kutokea kwa tukio hilo na kwamba sasa anajiandaa kwenda katika eneo la tukio. "Ni kweli nimepata taarifa zenye maelezo machache kama... hayo unayonieleza lakini niko kwenye ziara (Hakutaja ni ziara gani), ninajiandaa kwenda katika eneo la tukio, nikifika au kupata taarifa zaidi muda wowote kuanzia sasa nitawajulisha kwa kina" alieleza Kamanda Mohamed.

0 comments:

Post a Comment