Pages

Subscribe:

Saturday, June 20, 2015

KCEE ASHANGAZA WATU BAADA YA KWENDA KUNUNUA VITU GENGENI

Watu maarufu imekuwa ni nadra sana kuonekana kutoka na umaarufu wao, lakini kwa wasanii wengine imekuwa ni tofauti kidogo kwa sababu wanapenda kujichanganya na watu hata maeneo ya uswahilini. Kcee akiangalia Bidhaa gengeni. Msanii Kcee ambae hivi karibuni kamshirikisha Diamond Platnumz na pia ni... hit maker wa nyimbo ya Shikorobo aliyoshirikishwa na Shetta juzi kaonekana Uswahilini akinunua vitu gengeni. Watu mbalimbali wametoa maoni yao na kusema msanii huyu anaishi maisha halisi na ni mfano wa kuigwa kwa wasanii wenzake.

0 comments:

Post a Comment