Pages

Subscribe:

Saturday, June 20, 2015

HILI NDIYO TAMKO LA P SQUARE BAADA YA KUTO INGIA KANISANI TANGU MWAKA 2007

Linaweza likawa jambo la kushangaza lakini ukweli ni kwamba Peter Okoye na Paul Okoye hawajawahi kuingia kanisa lolote toka mwaka 2007. Kwa mtazamo wao wanadai kwamba jambo hili halina madhara sana kwao kwa sababu bado wako na Mungu japo hawaendi kanisani. - Walipoulizwa ni kwanini hawajawahi kuhudhuria kanisani walijibu "Kila tunavyokuwa tukienda kanisani watu... hututazama na kutufatilia kuliko kufatilia ibada na sala kitu ambacho kinatufanya tujisikie kama tunaharibu ibada za watu ...watu wote tuko sawa mbele ya Mungu ndio maana sio sahihi kufanya watu waache sala sababu yetu.

0 comments:

Post a Comment