Pages

Subscribe:

Sunday, June 14, 2015

DIVA LOVENESS AWACHANA TRACE TV NA MTV AFRICA

Mtangazaji wa Clouds FM Radio Amefunguka Haya Kuhusu Channel za Kubwa Mbili Africa za Music..Amendika Haya kwenye Ukurasa wake wa Instagram: Yaan Trace is full Of Bullshit ... kiufupi it sucks.. Nyimbo Za Tanzania Ukiona Zimepigwa. Ujue Ushkaji labda either umefanya kazi nao or mshkaji wako anajuana nao , nomination zenu pia za awards same trend .. Mpaka Mtu awe... featured na wasanii wenu ndio atakuwa nominated for MTV africa or hizo awards zingine .. Bongo mbona wasanii wetu wakali kuliko nyie ... wabinafsi nyie sana ... yaan ili uwe kwao with the trend ni Uwe Umefanya track na M
south Africa or Mnigeria .. you guys praise all of this Bs yaan.. wonder if Nyimbo zetu Kwao zinapigwa katika clubs yaan itakuwa hivyohivyo.. umeshirikiana nao or ushkaji or mshkaji wao mshkaji wako .. hamna zaidi.

Sioni Ajabu hata wimbo wa Mtu ukichezwa huko naona kawaida tu. not even Proud kusema ukweli... ukiangalia Trace Siku Nzima List ya wanamuziki wa Nigeria ndio usiseme .. na wanarudi hatari same playlist .. hizo mnazorudia kama kweli mnakuza muziki wa africa mngeweka za amataifa mengine esp Tanzania ambao Muziki wetu una viwango hasa .. well Improved kwa video hata zetu wenyewe
.... video zao zenyewe ubora wao siooo hivyooo.. zinafanana maudhui ndo usiseme labda wizkid wangu ndo he is too local for days .... ila Mbona Bongo kuna Kazi Nzuri tu nyie trace .. tena video kali kweli ...

hamna msichana mwaka huu kafanya video kali kama Ruby na Yule ila sababu hana ushkaji wimbo wake hautaonekana ... or sababu hajashirikisha brand zenu za nigeria mixer south africa basi video haitachezwa hata kama imetumwa kwenu.. wabinafsi sana nyie .. mtu akiwa katika playlist yenu ni lazima awe kafanya kazi na nyinyi or else you want them to Kiss yo ass or something.
Annoying Channel.

Mbona sisi Creative sana tu .. au ndo mpaka tuje ku shoot video South Africa or nigeria na directors wenu ?! mbona video Director'z Bongo wakali zaidi yenu? location mbona tunazo nyie trace?! Yo Music Video Playlist is on the same trend Mwezi mzima like what the heck . badilikeni bwana
Mbona shilole mkali kuliko Yemi alade video zake hamchezi? hata kama katuma mtabana? sometimes am always like .. what am i even watching? same playlist .. creativity on za same spot .. Quality ka zetu tu .. and I'm like Oi. sucks

0 comments:

Post a Comment