Pages

Subscribe:

Friday, June 26, 2015

DULLY SYKES KUFUNGUA ACCADEMY YA WASANII

Moja ya mipango ya Dully sykes ni kufungua academy ili aweze kuwasaidia vijana wanaochipukia katika muziki. Akiongea na 255 ya XXL Dully amesema: "Dhahabu Record nataka iwe academy mi napenda kila mtu awe mtu flani , kuna wakati nategemea ntakapokuwa vizuri ntafungua chuo kwa ajili ya kujifunza production na muziki kwa Free, ntakuwa nachukua... misaada kwa ajili ya chakula, lakini vitu vingine ni kwangu ntakuwa nanunua mimi mwenyewe, wajifunze wajue production wajue kila kitu".

0 comments:

Post a Comment